Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: SIMBA WAANZA KULIA NA WACHEZAJI
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Simba ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi nne baada ya kucheza michezo miwili...
Simba ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi nne baada ya kucheza michezo miwili na kushinda mmoja huku ikitoa sare mwingine.
Kikosi cha Simba
Hata hivyo, baada ya suluhu dhidi ya JKT Ruvu, baadhi ya mashabiki wa Simba walianza kuwalaumu wachezaji hasa wa kigeni na kocha Joseph Omog.

Tangu alipowasili nchini Omog ameiongoza Simba kucheza mechi nane zikiwamo za kirafiki na Ligi Kuu Bara. 

Katika michezo hiyo, Simba imepata ushindi michezo mitano, imetoa sare miwili na kupoteza mmoja.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top