Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: SHILOLE ALA ZA USO BAADA YA KUPOST PICHA YENYE UTATA HUKO INSTAGRAMUNI ICHEKI VIDEO HAPA.
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Shilole a.k.a Shishi Baby  amesababisha mchanganyiko wa hisia kutoka kwa mashabiki wake wanaomfuat...
Shilole a.k.a Shishi Baby amesababisha mchanganyiko wa hisia kutoka kwa mashabiki wake wanaomfuata kwenye mtandao wa Instagram, baada ya kuweka picha yenye utata.
Shilole a.k.a Shishi Baby
Picha hiyo aliyoipiga akiwa kwenye chumba cha hoteli, inaonesha mapaja yake wazi huku akiwa amefunikwa na taulo katikati ya ikulu yake.
Shilole
Picha aliyoiweka Shilole kwenye Instagram na kusababisha povu la kutosha Instagram

Hata hivyo kutokana na malalamiko kutoka kwa mashabiki wengi, amelazamika kuifuta picha hiyo.

CHEKI VIDEO HII HAPA AKIWA KITANDANI NA TAULO

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top