Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: SAMATTA NA ULIMWENGU WATOAPONGEZI KWA SERENGETI BOYS BAADA YA USHINDI WA JANA DHIDI YA CONGO
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys kuifunga Congo Brazz...
Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu
Baada ya timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys kuifunga Congo Brazzaville katika hatua ya tatu kuwania kufuzu michuano ya Afrika, wachezaji nyota wa Tanzania wanaocheza soka la kulipwa nje wameipongeza timu hiyo.
Serengeti Boys
Wachezaji hao, Mbwana Samatta wa Genk ya Ubelgiji na Thomas Ulimwengu wa TP Mazembe ambao wote waliwahi kucheza pamoja kwenye timu ya TP Mazembe, wameandika kwenye Twitter:
post

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top