Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: "SALOME" WA DIAMOND PLATNUMZ AZIDI KUWAKUNA WA AFRIKA, STAA HUYU WA NIGERIA AUSIFIA WIMBO HUO
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Salome ya Diamond Platnumz inaelekea kumshangaza staa huyo kwa mafanikio makubwa inayoendelea kuy...
Salome ya Diamond Platnumz inaelekea kumshangaza staa huyo kwa mafanikio makubwa inayoendelea kuyakusanya.
Chinedu Ikedieze
Baada ya video yake kuvutia views milioni 1 ndani ya siku mbili tu tangu itoke, wimbo huyo umeyagusa masikio ya mtu maarufu kwenye filamu za Nigeria, Chinedu Ikedieze anayejulikana zaidi kama Aki kwenye filamu zake.

Post
Akicomment kwenye post ya Diamond Instagram, Ikedieze amesema kuwa haelewi kinachoimbwa kwenye wimbo huo lakini ameupenda na kwamba ni shabiki wake mkubwa.

Chinedu alipata umaarufu mkubwa kupitia filamu za vichekesho za ‘Aki na Ukwa’

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top