Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: SABABU ZA WEMA SEPETU KUTOFANYA BIRTHDAY PARTY MWAKA HUU
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
September 28  ni siku ya kuzaliwa ya Tz Sweetheart Wema Sepetu , kama ilivyozoeleka katika siku ya...
September 28 ni siku ya kuzaliwa ya Tz Sweetheart Wema Sepetu, kama ilivyozoeleka katika siku ya kuzaliwa ya mlimbwende huyo asieishiwa na vituko kila kukicha, hufanya party ya kujipongeza lakini mwaka huu imekuwa tofauti.
Wema Sepetu
Wema Sepetu ametoa sababu ya kuwa mwaka huu na mwaka ujao hatofanya party yoyote ya kujipongeza hivyo anajipanga kufanya party ya kukata na Shoka mwaka 2018 kwani atakuwa anatimiza umri wa miaka 30.

Mwaka jana tulishuhudia mwanadada huyo akijizawadia gari aina ya Range Rover kama zawadi ya Birthday na gari hilo baadae kuingia sintofahamu na kuishia mikononi mwa TRA, Sasa tusubiri mwaka huo itakuwa suprise ipi maana maandalizi yake ni zaidi ya Miaka 2.
________________________________________
VANNESA MDEE AONGELEA COLABO YAKE NA TREY SONGZ

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top