Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: RUBY AMEKUSOGEZEA HUU WIMBO MPYA "WALE WALE" UNAWEZA KUPAKUA HAPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu msanii Ruby ambaye apo awali alikuwa mmoja wa wasanii wa THT ,...
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu msanii Ruby ambaye apo awali alikuwa mmoja wa wasanii wa THT, Leo hii ameweza kuachia single yake ya kwanza ambayo ni Nje ya Uongozi wa THT.
Ruby - Wale wale
Wimbo huo ameupa jina "Wale Wale" Producer wa wimbo huo ni Man Water kutoka Combination Sound

_______________________________________
TAZAMA HAPA SHOW YA USIKU WA VIGOMA JIJINI TANGA, WEMA SEPETU AKIKATA MAUNO.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top