Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: RATIBA YA MECHI ZOTE ZA UEFA ZINAZOCHEZWA LEO JUMATANO YA TAREHE 14/9/2016 IKO HAPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea Leo hii kwa kuzikutanisha Timu mbalimbali katika makundi tofau...
UEFA
Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea Leo hii kwa kuzikutanisha Timu mbalimbali katika makundi tofauti. Mitanange hiyo itaanza kurindima mnamo saa Tatu na Dakika arobaini na Tano Usiku kwa majira ya Afrika Mashariki.

Group C
Manchester City vs Borussia Moenchengladbach

Group E
Bayer Leverkusen vs CSKA Moscow
Tottenham Hotspur vs Monaco

Group F
Legia Warszawa vs Borussia Dortmund
Real Madrid vs Sporting CP

Group G
Club Bruge vs Leicester City
Fc Porto vs Fc Koebenhavn

Group H
Juventus vs Sevilla
Lyon Vs Dinamo Zagreb

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top