Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: RATIBA YA MECHI ZA KOMBE LA EFL (Capital One) WIKI HII ICHEKI HAPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mechi za raundi ya tatu ya kombe la EFL zamani likijulikana kama Capital One zinatarajiwa kuanza ...
Mechi za raundi ya tatu ya kombe la EFL zamani likijulikana kama Capital One zinatarajiwa kuanza kuchezwa usiku wa Jumanne hii na Jumatano.
EFL
Bingwa mtetezi wa kombe hilo ni timu ya Manchester City ilifanikiwa kuchukua kombe hilo baada ya kuifunga timu ya Liverpool kwa jumla ya penalti 3-1 baada ya kutoka sare ya bao 1-1 kwenye dakika 120.

Hii ni ratiba ya mechi hizo zitakazochezwa usiku wa Jumanne hii na Jumatano.

JUMANNE.
AFC Bournemouth vs Preston North End
Leicester City vs Chelsea
Derby Country vs Liverpool
Brighton & Hove Albion vs Reading
Nottingham Forest vs Arsenal
Everton vs Norwich
Leeds Utd vs Blackburn Rovers
Newcastle United vs Wolves

JUMATANO.
Fulham vs Bristol City
Northampton Town vs Manchester United
QPR vs Sunderland
Southampton vs Crystal palace
Swansea City vs Manchester City
West Ham United vs Accrington Stanley
Stke City vs Hull City
Tottenham Hospurs vs Gillingham
________________________________________
TAZAMA JINSI BARAKA DA PRINCE AKIDENDEKA LIVE NA NAJMA.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top