Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: RAIS MAGUFULI AMETENGUA UTEUZI MWINGINE LEO SEPTEMBA 21, 2016
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Leo September 21 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ametengua...
John Pombe Magufuli
Leo September 21 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof. Hasa Mlawa kuanzia leo.

Pamoja na kutengua uteuzi wa Prof. Hasa Mlawa, Rais Magufuli amevunja Bodi ya Udhamini ya Mfuko huo. Aidha uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Udhamini ya LAPF imeelezwa utafanywa baadaye.

_________________________________________

BIRTHDAY YA MAJIZO MABUSU NJE NJE NA MREMBO LULU, CHEKI VIDEO HII HAPA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top