Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: MRISHO MPOTO AYANENA HAYA JUU YA MSANII MR. BLUE
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mrisho Mpoto ameamua kubadili kauliyake aliyoitoa huko nyuma kuhusiana na ninani Msanii Bora wa Ki...
Mrisho Mpoto ameamua kubadili kauliyake aliyoitoa huko nyuma kuhusiana na ninani Msanii Bora wa Kiume Hapa Tz (Tanzania).
Mr. Blue
Mpoto ameweza kushawishika kubadili maoni yake hayo kufuatia kuridhishwa na Msanii Mr. Blue kuendelea Kufanya vizuri na Kuendelea kukubalika kwa mashabiki wake kwa zaidi ya Miaka 10 tangu aanze kufanya mziki huo na kuzidi kukonga mioyo ya watu kila kukicha.
Mrisho Mpoto
"Kusema ukweli kama kuna chchote ambacho nimewahi kukisema nyuma naomba nikibadilishe, naomba leo niseme kwa mara ya kwanza kuwa Mr Blue ndie msanii anaestahili kuwa msanii bora wa nchi yetu ya Tanzania. Mwaka wa 10 sasa na bado yuko kwenye game. Na kama hamuyaamini maneno yangu naomba mumfuatilie na ninaamini mtaungana na mimi" alisema Mrisho Mpoto
__________________________________________
ENJOY NA HII REMIX YA “ALL THE WAY UP” AMBAYO IMEFANYWA NA DIAMOND PLATNUMZ

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top