Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: LIVE: TAZAMA HAPA TUKIO LA KUPATWA KWA JUA HUKO LUJEWA-MBEYA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Hii ndio hali halisi ya Rujewa hivi sasa. Umati wa watu waliokusanyika kushuhudi...


Kupatwa kwa Jua

Hii ndio hali halisi ya Rujewa hivi sasa.

Kupatwa kwa Jua

Umati wa watu waliokusanyika kushuhudia

Kupatwa kwa Jua

Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akiwaongoza wananchi mbalimbali kuangalia tukio la kupatwa kwa jua.
Kupatwa kwa Jua


Kupatwa kwa Jua
Le-Mutuz akiwa na Mtangazaji wa Clouds Media Gadna G Habash wakishuhudia tukio hilo Ludewa - Mbeya.
Kupatwa kwa Jua

Kina mama ntilie nao wameweza kutumia fursa hiyo wako eneo la tukio, kwani watu wengi wanahitaji huduma yao.
Kupatwa kwa Jua
Taswira hii imechukuliwa ndani ya Manispaa ya Lindi hali ilivyo hivi sasa ni giza ambalo si nene lakini linazidi kushika hatamu huku jua likiwa halionekani kabisa.

Najua ujui na kama unajua basi ni bora nikukumbushe kuwa tukio hili la kupatwa kwa jua mara ya mwisho kutokea ilikuwa ni mwaka 1977.


ENDELEA KU-REFRESH PAGE YAKO ILIKUPATA UPDATE ZA PICHA ZAIDI.......!!!

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top