Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: LINAH ADAIWA KUMNYAKUWA IDRISS SULTAN KUTOKA KWA WEMA SEPETU, JE HICHI NI KISASI?
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Kipindi cha Nyuma Linah Sanga aliingia Bifu zito baada ya Kuibiwa Bwana na Wema Sepetu ambapo ...
Kipindi cha Nyuma Linah Sanga aliingia Bifu zito baada ya Kuibiwa Bwana na Wema Sepetu ambapo alilalamika sana kwenye vyombo vya habari hasa Radioni.

Hivi karibuni Linah na Mpenzi wa Wema Sepetu Idriss Sultan wanaonekana kuwa na ukaribu usio wa kawaida kiasi kwamba inasemekati eti masupastaa hawa ni wapenzi wanapika na kupakuwa kitendo ambacho kinaonyesha ni kama kulipa kisasi kwa Wema....!!
POST YA LINAH
Haya Tuache Movie liendeleeee tutawajuza zaidi kinachoendelea.......

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top