Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: KISIKILIZE HAPA KIONJO CHA REMIX YA "ALL THE WAY UP" ALIYOIFANYA DIAMOND PLATNUMZ
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Bongo Fleva super staa Diamond Platnumz ametuonjesha kidogo ujio wa Remix yake ya wimbo wa Fat Jo...
Bongo Fleva super staa Diamond Platnumz ametuonjesha kidogo ujio wa Remix yake ya wimbo wa Fat Joe na Remy Ma ‘All The Way Up‘ Ft French Montana.
Diamond Platnumz
Kwenye instagram yake Diamond kaandika huu ujumbe pamoja na hichi kionjo “ You know i Love being crazy Sometimes ???????????? #FoolingAround #AllTheWayUp #JINI #SIMBA #VAMPIRE Mendez tell those Mother*** ka! ”

Isikilize Hapa.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top