Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: JUMA NATURE AMEKUSOGEZEA KICHUPA KIPYA "MTUMBA" HEBU KICHEKI HAPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mkongwe katika Gemu la Muziki wa Bongo Fleva Juma Nature a.k.a Kiroboto ameachia video ya Wimb...
Juma Nature - "MTUMBA"
Mkongwe katika Gemu la Muziki wa Bongo Fleva Juma Nature a.k.a Kiroboto ameachia video ya Wimbo wake "MTUMBA", Audio ya wimbo huo ilitoka wiki kadhaa zilizopita. Video imefanywa na CINE FACTORY chini ya Director SOLOMON LAMBA.

ICHEKI HAPA kisha toa maoni yako.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top