Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: JESHI LA POLISI LAONDOA KATAZO LAKE LA KUFANYIKA VIKAO VYA NDANI KWA VYAMA VYA SIASA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Jeshi la polisi nchini limeondoa marufuku ya mikutano ya ndani kwa vyama vya siasa kwa madai kwamba...
Jeshi la polisi nchini limeondoa marufuku ya mikutano ya ndani kwa vyama vya siasa kwa madai kwamba limeridhishwa na hali ya kiusalama iliyopo nchini.
Nsato Marijani Mssanzya
Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Nsato Marijani Mssanzya ametangaza kuondoa zuio hilo leo na kusema kuwa makatazo mengine ya mikutano ya vyama hivyo yako pale pale.

Mssanzya amesema mikutano ya hadhara na maandamano bado hairuhusiwi lakini wabunge wanaruhusiwa kufanya mikutano yao katika majimbo yao kwa mujibu wa katiba.

"Maandamano na mikutano ya hadhara imezuiliwa hadi tathmini pana zaidi ya hali ya usalama itakapofanyika," amesema Mssanzya
_________________________________________

BIRTHDAY YA MAJIZO MABUSU NJE NJE NA MREMBO LULU, CHEKI VIDEO HII HAPA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top