Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: JE HILI NI POVU LA DAVIDO BAADA YA KUKOSA KUWA NOMINATED KATIKA TUZO ZA MTV MAMA?
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Nomination ya Tuzo za MTV MAMA  zimetoka na kilichowaacha watu wengi ni mshindi wa tuzo ya Kipengel...
Nomination ya Tuzo za MTV MAMA zimetoka na kilichowaacha watu wengi ni mshindi wa tuzo ya Kipengele cha ‘Best Male’ kwa miaka miwili mfululizo kukosa nomination mwaka huu.
Davido
Davido ambaye hajaachia wimbo mpya tangu mwaka umeanza suala la kukosa Nomination kwenye tuzo hizo halijamshitua yeye mwenye, Davido amedai ni haki kabisa kukosa tuzo hiyo huku akijigamba kwa tuzo tatu za MAMA alizoshinda ndani ya miaka miwili.
“I really shouldn’t be nominated this year For what?? I got three MAMAS in two years I’m good ! Still gonna be a great show! BUT NEXT YEAR” Davido amemjibu mmoja wa shabiki wake aliyehoji kuhusu tuzo hizo.

Hata hivyo hii ni awamu ya kwanza ya Nomination na Davido ameambulia kwenye Best Collabo kupitia wimbo wa rapper wa Afrika Kusini Nasty C ‘Juice Back
Remix’
ambao pia Cassper Nyovest ameshirikishwa.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top