Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: ITAZAME HAPA VIDEO YA WIMBO MPYA WA DIAMOND FT RAYVANNY - SALOME (TRADITIONAL VERSION)
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Nahisi watu wa Bukoba hii SALOME yake DIAMOND PLATNUZM ft RAYVANNY inawahusu zaidi, naamini ukiisik...
Nahisi watu wa Bukoba hii SALOME yake DIAMOND PLATNUZM ft RAYVANNY inawahusu zaidi, naamini ukiisikiliza hii utaelewa namaanisha nini.
Diamond Platnumz ft Rayvanny Salome
Kama Saida Karoli katolewa Bukoba halafu kaletwa Sinza Dar es Salaam hivi, kisha wakamkalisha kwenye vinanda vikali vya Producer Laizer. wa WCB. Utanielewa zaidi endapo utaisikiliza na kuitazama Video hii. 

Enjoy nayo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top