Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: IMEBAINIKA KUWA UKARIBU WA IDRISS NA LINAH SANGA, SABABU NI HII VIDEO MPYA YA LINAH
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Bongo fleva Diva Linah Sanga a.k.a Ndege Mnana  ameanza matayarisho ya video yake mpya ya wimbo ‘...
Bongo fleva Diva Linah Sanga a.k.a Ndege Mnana ameanza matayarisho ya video yake mpya ya wimbo ‘Raha Jipe Mwenyewe’ akiwa na Director Khalfani.
Linah
Kutokana na picha na video clip za behind the scene, Linah yupo na Idris kwenye eneo wanalofanyia video hii pamoja na Director Khalfani.

Hivi karibuni kumekuwa na Minong'ono ya hapa na pale kwa wafuasi wa Linah na wale wa Idriss hasa wale walioko kwenye mtandao wa Instagram, hiyo ni baada ya kuona post nyingi za picha za Linah na Idriss wakiwa pamoja. Hivyo kuhisiwa kuwa ni wapenzi.
LinahCHEKI VIDEO HII HAPA BEHINDE THE SCENE YA VIDEO HIYO, #Rahajipemwenyewe

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top