Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: HUU HAPA MUONEKANO MPYA WA STAA WA BONGO FLEVA RAY C A.K.A KIUNO BILA MFUPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Picha mpya kwenye kurasa ya Instagram ya Bongo Fleva staa Ray C imewapa matumaini mashabiki wa...
New Look
Picha mpya kwenye kurasa ya Instagram ya Bongo Fleva staa Ray C imewapa matumaini mashabiki wake kuwa atarudi kwenye muziki hivi karibuni.

Ni muda sasa umepita toka staa huyu aweke chochote kwenye Instagram yake kuhusu muonekano wake, Hii ndio picha yake mpya iliyoambatana na ujumbe huu “Bidii yangu inategemea nguvu yako tu baba”

Ray C
__________________________________________
ENJOY NA HII REMIX YA “ALL THE WAY UP” AMBAYO IMEFANYWA NA DIAMOND PLATNUMZ

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top