Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: HUKU NI KUPATWA KWA MOYO MASHINE.., BEN POL LIVE NA SNURA WAKIFANYA YAO
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Wataalamu wa mambo wanasema eti hii ni New couple in Town ndio naweza kusema kulingana na picha ...
snura na ben pol
Wataalamu wa mambo wanasema eti hii ni New couple in Town ndio naweza kusema kulingana na picha hiyo hapo juu ambayo inazunguka mtaani huku wengi wakijiuliza maswali kama ni kweli ama la...? 

Ikumbukwe Snura alishawahi kuandika na kukiri kuwa kuna Mwanamuziki mmoja wa Bongo Flava anamzimia kinyama lakini hakuweza kumuweka wazi kwa jina.
snura na ben pol
Kupitia Picha hii Sasa unaweza kuwa umepata jibu baada ya wawili hao kuonyesha picha wakidendeka bila chenga.


Chanzo: UDAKUSPECIALLY
_______________________________________
TAZAMA HAPA SHOW YA USIKU WA VIGOMA JIJINI TANGA, WEMA SEPETU AKIKATA MAUNO.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top