Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: HIKI NDIO CHANZO CHA BEEF YA BILLNASS NA DIVA WA CLOUDS FM
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Kama utakuwa mfuatilia wa stori za mastaa hivi karibuni kulitokea kutoelewana kati ya Billnass na...
Kama utakuwa mfuatilia wa stori za mastaa hivi karibuni kulitokea kutoelewana kati ya Billnass na Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness aka Diva The Bawse.
Billnass
Leo Sept 20, 2016 Billnass amepata nafasi ya kuongea na Lindiyetu.com na kueleza jinsi ilivyokuwa mpaka kumaliza tofauti zake na kuyaongea haya.
"Issue ilitokea baada ya kuandikwa kwenye magazeti stori yenyewe mimi sijaisoma niliiona kupitia mtandao wa Instagram na nakumbuka ile siku nilipokuwa naelekea Clouds FM nikakutana na Diva nikaeleza ukweli wa hali halisi ilivyokuwa na mwisho tukayamaliza."

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Billnass akieleza chanzo cha beef hiyo.

_________________________________________

BIRTHDAY YA MAJIZO MABUSU NJE NJE NA MREMBO LULU, CHEKI VIDEO HII HAPA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top