Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: HII NDIO SABABU YA SUPER STAR QUEEN BEY (BEYONCE) KUSITISHA SHOW YAKE YA NEW JERSEY
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Beyoncé amechukua siku chache kupumzisha sauti yake ili kuendelea na ziara yake ya “Formation.” ...
Beyoncé
Beyoncé amechukua siku chache kupumzisha sauti yake ili kuendelea na ziara yake ya “Formation.”

Queen Bey amefuta show ya Sept. 7 kwenye uwanja wa mpira wa MetLife mjini New Jersey mpaka Oct. 7 baada ya daktari kumuambia apumzishe sauti yake kwanza ili kuendelea na ziara hii.

Ziara ya “Formation” inapambwa na nyimbo kali kutoka kwenye album yake ya LEMONADE.
_____________________________________________________________________________
ENJOY NA HII REMIX YA “ALL THE WAY UP” AMBAYO IMEFANYWA NA DIAMOND PLATNUMZ

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top