Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: HII HAPA SINGLE YA KWANZA YA KISWAHILI "GOTA'' KUTOKA KWA MWANA DADA VICTORIA KIMANI.
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Kwa muda mrefu Wakenya walikuwa wakidai kutozielewa nyimbo za Victoria Kimani na yeye mwenyewe mara...
Kwa muda mrefu Wakenya walikuwa wakidai kutozielewa nyimbo za Victoria Kimani na yeye mwenyewe mara kibao amewahi kulalamika kutopewa support ya kutosha nchini mwao.
Victoria Kimani
Na sasa muimbaji huyo mrembo huenda akawa amepata dawa ya tatizo hilo. Kimani ameachia single ya kwanza ya Kiswahili iitwayo ‘Gota.’

Kimani amemtaja rapper,Abbasdoobeez kuwa ndiye aliyemsaidia kuandika wimbo huo kwa Kiswahili. Wimbo huo uliotambulishwa jana kupitia Kiss FM ya Kenya, bado haujawekwa mtandaoni.
Victoria Kimani
“ASANTE SANA !!! Thank you so much for Tuning in!!!!! Gawdddd I’ve never been so nervous Online Link will be out in a few #GOTA,”
aliandika kwenye Twitter.
_______________________________________
TAZAMA HAPA SHOW YA USIKU WA VIGOMA JIJINI TANGA, WEMA SEPETU AKIKATA MAUNO.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top