Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: GOOD NEWS: HII HAPA ILE COLABO YA BARAKA DA PRINCE NA ALI KIBA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Kupitia akaunti ya Instagram ya Baraka Da Prince ameweza kuweka wazi kuwa Tarehe 13/10/2016 it...
Baraka Da Prince & Alikiba - NISAMEHE
Kupitia akaunti ya Instagram ya Baraka Da Prince ameweza kuweka wazi kuwa Tarehe 13/10/2016 itakuwa ni siku pekee ya kuachiwa kwa wimbo ambao amefanya na Msanii Ali Kiba na kupewa jina "NISAMEHE".

Hivyo kama wewe ni shabiki wa Baraka Da Prince na Ali Kiba Kaa mkao wa Kula kwa ajili ya kupokea kitu kizuri kutoka kwao. 
Post

Kumbuka hawa wasanii wote wako chini ya Rockstar 4000.
______________________________________
TAZAMA JINSI BARAKA DA PRINCE NA NAJ WAKIPIGANA MA BUSU LIVE.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top