Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: DIAMOND PLATNUMZ AVUNJA REKODI YAKE MWENYEWE KUPITIA "SALOME", AMEYASEMA HAYA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mkali kutoka WCB Diamond Platnumz ameweza kuvunja rekodi yake mwenyewe aliyoiweka Miezi 2 iliyo Pi...
Mkali kutoka WCB Diamond Platnumz ameweza kuvunja rekodi yake mwenyewe aliyoiweka Miezi 2 iliyo Pita kupitia mtandao wa Youtube kupitia kibao chake "KIDOGO" alichowashirikisha P-SQUARE.
Diamond Platnumz ft Rayvanny - Salome
Video ya wimbo "Salome" ya mkali wa muziki, Diamond Platnumz imefikisha views miloni 1 katika mtandao wa YouTube kwa kipindi cha siku mbili.

Video hiyo ambayo inaonyesha kufanya vizuri zaidi kwa muda mfupi, imevunja rekodi yake mwenyewe ya video yake ya wimbo ‘Kigogo’ ya kufikisha views milioni 1 ndani ya siku 4.

Kupitia akaunti yake ya Instagram Diamond ameandika
Muimbaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao video zao za muziki zinapata views wengi kupitia mtandao wa YouTube kwa muda mfupi.

Hii ni hatua nzuri kwa muziki wa Tanzania, kwani inaonyesha ni jinsi gani watanzania wameamka kusupport wasanii wao zaidi na pia wimbo huo umeweza kutabiriwa kuwa kati ya nyimbo ambazo zitaishi muda mrefu kutokana na mahadhi yake.__________________________________________
ENJOY NA HII REMIX YA “ALL THE WAY UP” AMBAYO IMEFANYWA NA DIAMOND PLATNUMZ

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top