Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: CHRIS BROWN ATOA UJUMBE MZITO BAADA YA TETESI ZA LIL WAYNE KUTANGAZA KUACHA MUZIKI
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya twit kali kutoka kwa Rapa Lil Wayne iliyoashiria kustaafu muziki kwa msanii huyu, rnb staa...
Baada ya twit kali kutoka kwa Rapa Lil Wayne iliyoashiria kustaafu muziki kwa msanii huyu, rnb staa Chris Brown ametoa ujumbe mzito juu ya mchango wa Lil Wayne kwenye muziki wake.
Chris Brown
Kupitia Instagram, Chris Brown aliandika hivi "This man helped my career in so many ways and has inspired me to live life!!! FOREVER WILL BE THE GREATEST RAPPER ALIVE!!!! NONe OF YOU RAPPERS WOULDNT EVEN KNOW WHERE TO START. REALISTICALLY MOST OF YALL ARE HIS STUDENTS AND DONT WANT TO ADMIT IT!!! YMOHB!!!!! ( and I know that Wayne wrote for damn near all cash money records artist when he was a teenager.) niggas wanna be down when it’s all good but soon as they feel the pressure you have to deal wit they all will fade) #YMOHB"
Lil Wayne
Maneno haya ya Chris Brown yanamaanisha "Lil Wayne amenisaidia sana kwenye muziki wangu, amekuwa mshawishi wangu mkubwa, milele atakuwa rapa mkali zaidi kuwahi kuishi, wasanii wengi wa rapa hata msingejua pakuanzia kama isingekuwa Wayne, wote nyie ni wanafunzi wake hata kama hamtaki kusema, Wayne kaandika nyimbo kibao za wasanii wa Cash Money, mambo yakiwa sawa mnakuwa na sisi ila yaki haribika mnatukimbia"

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top