Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: BRAND NEW AUDIO MUSIC || DIAMOND FT RAYVANNY - SALOME || DOWNLOAD/LISTEN
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya asubuhi ya leo Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kuwa surprise ma-fansi wake kwen...
Diamond ft Rayvanny - Salome
Baada ya asubuhi ya leo Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kuwa surprise ma-fansi wake kwenye Ukurasa wake wa Twitter kwa Kutweet kuwa anajisikia kuachia wimbo mpya siku ya leo na ameweza kutimiza jambo hilo kwa kuachia wimbo wake aliomshirikisha Msanii wake kutoka Lebo ya WASAFI ajulikanae kwa jina la Rayvanny (Raymond).

Hebu Isikilize hapa na kisha Tupe maoni yako.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top