Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: BRAND NEW AUDIO MUSIC || DAVIDO - GBAGBE OSHI || DOWNLOAD/LISTEN
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya kimya cha takribani mwaka mmoja bila ya kuachia wimbo mpya, muimbaji wa Nigeria, David...
Davido - Gbagbe Oshi
Baada ya kimya cha takribani mwaka mmoja bila ya kuachia wimbo mpya, muimbaji wa Nigeria, Davido ameachia wimbo wake mpya ‘Gbagbe Oshi’ ambao utapatikana kwenye albamu yake ya ‘Son of Mercy’ inayotarajiwa kuanza kupatika kwa pre order Ijumaa hii. 

Sikiliza hapa chini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top