Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: BIRTHDAY YA MAJIZO MABUSU NJE NJE NA MREMBO LULU, CHEKI VIDEO HII HAPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
CEO wa EFM, Majay amepokea mabusu yakutosha kutoka kwa mpenzi wake Elizabeth Micheal ‘Lulu’ k...
CEO wa EFM, Majay amepokea mabusu yakutosha kutoka kwa mpenzi wake Elizabeth Micheal ‘Lulu’ katika tafrija ya sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. 
Malkia huyo wa filamu Ijumaa hii alimwandikia ujumbe mzuri wa kumtakia heri ya mafanikio huku ndani kukiwa na ujumbe ‘I think sisi ni perfect combo’.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top