Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: AUDIO: IDADI YA VIFO KWENYE TETEMEKO LA ARDHI BUKOBA YAONGEZEKA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Idadi ya vifo vya watu kwenye tetemeko lilitokea Kagera inazidi kuongezeka ambapo Kamanda wa polisi...
Idadi ya vifo vya watu kwenye tetemeko lilitokea Kagera inazidi kuongezeka ambapo Kamanda wa polisi Kagera Augustine Olomi ametaja kuwa imefikia vifo vya watu nane (8) na majeruhi zaidi ya 100.
 tetemeko
"Taarifa ya vifo vipatavyo vinane hadi sasa hivi na majeruhi kadhaa wanakwenda zaidi ya 100, lakini kutokana na hii taharuki jeshi la polisi tumejipanga kuzuia wale watu wanaotaka kupora mali za watu" Kamanda wa polisi Kagera amesema.

Lindiyetu.com inaendelea kufuatilia taarifa zaidi na tutaendelea kukupatia kadri zinavyotufikia.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top