Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: ANGALIA JINSI DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOKUSANYA KIJIJI MJINI MOMBASA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mkali wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz ameendelea kuonyesha umwamba wake nchini Kenya ...
Mkali wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz ameendelea kuonyesha umwamba wake nchini Kenya katika show iliyofanyika Mombasa Jumamosi hii na kuhudhuriwa na maelfu ya watu.
Diamond in Mombasa
Diamond akifanya yake.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri Afrika pamoja na kimataifa, ameendelea kudhihirisha ukubwa wake baada ya show yake kuhudhuriwa maelfu wa mashabiki.
Diamond in Mombasa
Kupitia Instagram yake, Diamond aliandika “It’s 4:35 am now in East africa… am now going to sleep then right after waking up, will start posting my all Mombasa show Pictures…. thanks,”
Diamond in Mombasa
Angalia Video Ya Show Hiyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top