Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: ALIKIBA KUFANYA SHOW USIKU WA TUZO ZA MTV AFRICA MUSIC AWARDS 2016 ‘MAMA’S’
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Meneja wa RockStar 4000 Seven Mosha amethibitisha kuwa msanii wao The KingAli Kiba atafanya sh...
Ali Kiba
Meneja wa RockStar 4000 Seven Mosha amethibitisha kuwa msanii wao The KingAli Kiba atafanya show kwenye usiku a Tuzo za MAMA 'MTVAfrica Music Awards 2016'.
Ali Kiba
Ali Kiba alikuwa ni miongoni mwa wasanii wa kimataifa kutoka Afrika Mashariki aliyependekezwa kufanya show kwenye majukwaa makubwa Duniani.

Ali Kiba ameongoza kwa asilimia 45 juu ya wasanii kama Eddy Kenzo, Sauti Sol, Bebe Cool na bila Kumuacha Diamond platnumz ambaye alizidiwa asilimia tatu tu kwa mujibu wa kura zilizopigwa.

post
Show Hii itafanyika 22, October, 2016. jijini Johannesburg Afrika Kusini.
_______________________________________
TAZAMA HAPA SHOW YA USIKU WA VIGOMA JIJINI TANGA, WEMA SEPETU AKIKATA MAUNO.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top