Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: ZLATAN AZIDI KUWASHA MOTO OLDTRAFORD, MAN UNITED YAIBANJUA SOUTHAMPTON 2-0.
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Zlatan Ibrahimovic amefunga mabao mawili akiicheza kwa mara ya kwanza kwenye dimba la Old Traff...
Manchester United
Zlatan Ibrahimovic amefunga mabao mawili akiicheza kwa mara ya kwanza kwenye dimba la Old Trafford kama mchezaji wa Manchester United na kuzidi kuisogeza timu hiyo kileleni zaidi.
Manchester United
Msweden huyo alifunga goli la kwanza baada ya kupokea krosi maridhawa iliyochongwa kutoka upande wa kulia na Wayne Rooney mnamo dakika ya 36 ya kipindi cha kwanza.
Manchester United
Dakika ya 52, Zlatan alifunga bao la pili kwa njia ya penati baada ya beki wa kushoto wa Man United Luke Shaw kufanyiwa madhambi na Jordy Clasie.

Paul Pogba, ambaye amesajiliwa kwa paundi mil 89 kutoka Juventus kwa mara ya kwanza leo ameichezea klabu hiyo na kuonesha uwezo mkubwa sana.
Manchester United
NDONDOO MUHIMU:
  • Zlatan Ibrahimovic amefunga magoli 13 kwenye michezo 8 iliyopita ya ligi dhidi ya timu zilizofundishwa na Claude Puel – akifanya hivyo pia wakati akiwa Paris St-Germain dhidi ya Nice.
  • Magoli matatu kati ya sita ya Zlatan amefunga kwa njia ya kichwa.
  • Manchester United hawajapoteza mchezo wowote wa ligi ambao wameongoza mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika tangu Mei mwaka 1984.
  • Paul Pogba leo amecheza kwa mara ya kwanza kama mchezaji wa Manchester United tangu March 18 mwaka 2012, sawa na siku 1,616 zilizopita.
  • Wayne Rooney amecheza mchezo wake wa 600 kwenye mechi ya leo (michezo 523 akiwa na Man United na 77 akiwa na Everton).
  • Manchester United hawajapoteza mchezo wowote waliocheza Ijumaa tangu mara ya mwisho walivyofungwa 2-0 na mwaka 1950 Birmingham. Wameshinda mara 14 na kutoka sare mara sita.
Vikosi, Manchester United: (4-2-3-1): 
De Gea, Valencia, Bailly, Blind, Shaw, Pogba, Fellaini, Mata (Mkhitaryan 76,), Rooney (Smalling 89), Martial, (Herrera) Ibrahimovic.
Subs not used: Young, Rashford, Romero, Schneiderlin

SOUTHAMPTON (4-3-1-2): Forster, Soares, Van Dijk, Fonte, Targett, Hojberg, Romeu (Clasie 12,), Davis (Austin 67,), Tadic, Long (Rodriguez), Redmond.
Subs not used: Yoshida, McCarthy, Ward-Prowse, Pied.

Referee: Anthony Taylor 7

RATIBA YA LIGI KUU UINGEREZA WIKIENDI HII
Saturday, August 20
Stoke City
2:30 PM
Man. City
Tottenham
5:00 PM
Crystal Palace
Watford
5:00 PM
Chelsea
West Brom
5:00 PM
Everton
Swansea City
5:00 PM
Hull City
Burnley FC
5:00 PM
Liverpool
Leicester City
7:30 PM
Arsenal
Sunday, August 21
Sunderland
3:30 PM
Middlesbrough
West Ham
6:00 PM
Bournemouth
All times are in East Africa Time

MSIMAMO WA LIGI YA UINGEREZA
POSLOGO &TEAMPWDLGDPTS
1Manchester UnitedManchester United220046
2LiverpoolLiverpool110013
3ChelseaChelsea110013
4Hull CityHull City110013
5Manchester CityManchester City110013
6Swansea CitySwansea City110013
7West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion110013
8EvertonEverton101001
9MiddlesbroughMiddlesbrough101001
10Stoke CityStoke City101001
11Tottenham HotspurTottenham Hotspur101001
12WatfordWatford101001
13SouthamptonSouthampton2011-21
14ArsenalArsenal1001-10
15Leicester CityLeicester City1001-10
16SunderlandSunderland1001-10
17West Ham UnitedWest Ham United1001-10
18BurnleyBurnley1001-10
19Crystal PalaceCrystal Palace1001-10
20BournemouthBournemouth1001-20

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top