Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: ZAMARADI MKETEMA AJA NA FILAMU HII HAPA BAADA YA KUNG'ARA KWA FILAMU YA KIGODORO
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Zamaradi Mketema amesema yupo mbioni kuachia filamu mpya ambayo anasema itakuwa gumzo. Akiongea n...
Zamaradi Mketema amesema yupo mbioni kuachia filamu mpya ambayo anasema itakuwa gumzo.
Zamaradi Mketema
Akiongea na Bongo5, Zamaradi amesema filamu hiyo itakuwa tofauti na kwamba awali alipanga aiite Mchepuko lakini amebadilisha jina baada ya kuwepo nyingine yenye jina hilo.

Amesema bado ni mapema kusema itaitwaje lakini amedai kuwa ni tofauti kabisa na Kigodoro, filamu iliyompa tuzo. “Tumetoka kwenye upande wa Kigodoro kabisa tuko sehemu nyingine tofauti kabisa,” amesisitiza.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top