Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: WEMA SEPETU AWAUMBUA WANAOCHOCHEA BEEF KATI YAKE NA PETIT MAN. AWAJIBU KWA STYLE HII HAPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Hapo nyuma kidogo kulikuwa na ukimya kati ya Wema Sepetu na Petit Man na mashabiki wakaanza ku...
Wema Sepetu na Petit Man
Hapo nyuma kidogo kulikuwa na ukimya kati ya Wema Sepetu na Petit Man na mashabiki wakaanza kuvamia social network na kuandika vitu vingi wanavyovijua wao na wengine kuliita BEEF kati ya Wema na Petit. 
Lakini usiku wa tarehe 16 Aug wawili hawa walionekana wakijirekodi video fupi na Wema akaiweka katika account yake ya SnapChat
Baadae kulivyokucha Wema alionekana kupost video clip ile ile ya SnapChat kwenye Instagram yake na kuandika hivi
“Yes…! He has a piece of me… @officialpetitman_wakuachetz”
Instagram ya Wema Sepetu

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top