Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: WEMA SEPETU AMLILIA IDRIS, AYANENA HAYA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mapenzi ya Wema Sepetu na Idris Sultan bado yana nguvu hata baada ya misuko suko ya hapa na pale ...
Mapenzi ya Wema Sepetu na Idris Sultan bado yana nguvu hata baada ya misuko suko ya hapa na pale kuhusu kuachana na kurudiana kwao.
Wema Sepetu
Kwenye Instagram ya Wema leo August 21 2016, ujumbe kuhusu Idris umewekwa na mwana dada huyu.

Wema Sepetu aliandika 
“That moment you realise how much u miss a special someone… Rudi basi… hata kidogo tu… ????”
Ujumbe huu uliambatana na picha ya kichwa cha Idris.
post

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top