Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: VIDEO: WATEJA WA VODACOM WAIFURAHIA OFA YA "YAKWAKO2"
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Ikiwa ni wiki tatu toka mtandao wa Vodacom nchini uzindue ofa ya Yakwako2 , wateja wa mtandao...
Yakwako2
Ikiwa ni wiki tatu toka mtandao wa Vodacom nchini uzindue ofa ya Yakwako2, wateja wa mtandao huo wameonyesha kufurahishwa na huduma hiyo. Wakizungumza wateja hao kutoka maeneo tofauti tofauti ya Dar es Salaam, waliipongeza huduma hiyo kwa kuwapa nafasi ya kuchagua vifurushi wavitakavyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top