Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: VERA SIDIKA AELEZA SABABU NA KIASI CHA PESA ALICHOTUMIA KUTENGENEZA MATITI YAKE
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mrembo maarufu kutoka Kenya, Vera Sidika ameweka wazi kuwa alifanya P lastic surgery ili aweze ku...
Mrembo maarufu kutoka Kenya,Vera Sidika ameweka wazi kuwa alifanya Plastic surgery ili aweze kuwa na matiti makubwa.
Vera Sidika
Vera aliyasema hayo akiwa kwenye mahojiano ya Tv na kipindi cha Friday Night live cha EATV ambapo alieleza kuwa alifikia uamuzi huo baada ya kuona sehemu zingine za mwili wake ni kubwa kasoro matiti,hivyo akaamua kutafuta mwili wenye uwiano.

"Kipindi nakua toka teenager kuwa youth,mwili wangu ulianza kuwa mkubwa na ukaanza kuwa mkubwa sehemu nyingine huku kwa juu nikawa kama nimenyimwa kidogo,halafu kwenye industry kama holywood sio big deal,watu wanafanya surgery kama kawaida ila kwa Afrika ni kitu kipya..Nilifanyiwa surgery ya matiti,inaitwa boob job,nilikuwa nataka niwe na mwili wenye uwiano,nilfanyiwa marekani,holywood na iligharimu kama dola elfu 30"
Vera Sidika 
Alifunguka Vera Sidika ambaye pia alidai kuwa uamuzi huo ulichangiwa na ukweli kwamba alitaka avutie zaidi kwenye show biz na kuongeza kuwa hela alizotumia kufanya plastic surgery zinarudi kutokana na madili anayopata kwenye show biz kutokana na muonekano wake ikiwemo kuonekana kwenye videos za wasanii,magazines na special appearance kwenye clubs.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top