Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: UTEUZI MWINGINE ALIOFANYA RAIS MAGUFULI LEO AGOSTI 21, 2016
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Taarifa iliyotolewa na Ikulu leo August 21 2016 imesema kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa T...
Dkt. John Pombe Magufuli
Taarifa iliyotolewa na Ikulu leo August 21 2016 imesema kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Gabriel Fabian Daqarro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.

Gabriel Fabian Daqarro anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Mrisho Mashaka Gambo ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Uteuzi wa Bw. Gabriel Fabian Daqarro unaanza mara moja.

*********************************
BARAKA DA PRINCE NA NAJI WAKIPEANA UTAMU LIVE KITANDANI.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top