Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: TIGO YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MASOMO YA SAYANSI KWA SEKONDARI YA CHATO
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaban Ntlambe (katikati) akipokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia...
Tigo Msaada wa Vifaa
Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaban Ntlambe (katikati) akipokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia, Baiolojia na Kemia) vya Shule ya Sekondari Chato vyenye thamani ya Sh Milioni 30, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa wa Mtandao wa Tigo Edgar Mapande (kushoto), kwenye halfa iliyofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Bernado Selema.Tigo Msaada wa Vifaa Chato
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakiwa katika picha pamoja na vifaa vya masomo ya sayansi vilivyotolewa na kampuni ya simu za Mkononi ya tigo.Tigo Msaada wa Vifaa Chato
Mkuu wa Wilaya ya Chato Shaban Ntlambe (katikati) akipokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia, Baiolojia na Kemia) vya Shule ya Sekondari Chato vyenye thamani ya Sh Milioni 30, kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Ziwa wa Mtandao wa Tigo Edgar Mapande (kushoto), kwenye halfa iliyofanyika shuleni hapo mwishoni mwa wiki.Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Bernado Selema.Tigo Msaada wa Vifaa Chato
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakifuatilia matukio wakati wa kupokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia, Baiolojia na Kemia) vyenye thamani ya Sh Milioni 30, kutoka kampuni ya simu za Mkononi ya Tigo. 

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top