Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: SIMBA SC WAMKABIDHI TIMU MO DEWJI, SASA KUENDESHWA KWA MAKUBALIANO HAYA.
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Kamati ya utendaji ya Klabu ya Simba August 15 2016 ilikutana na mkurugenzi mtendaji mkuu wa makamp...
Kamati ya utendaji ya Klabu ya Simba August 15 2016 ilikutana na mkurugenzi mtendaji mkuu wa makampuni ya Mohammed Enterprises Limited (MeTL) Mohammed Dewji ambaye aliomba kununua asilimia 51 ya hisa za Simba kama mfumo ukibadilika na kuanza kuendeshwa klabu hiyo kwa hisa.
Simba
Leo August 17 Simba wametoa makubaliano yao walioafikiana katika kikao chao cha pamoja.

Katika taarifa ambayo imetolewa na msemaji wa Simba, Haji Manara kuhusu mazungumzo yaliyofanywa na kamati ya utendaji ya Simba na Mohammed Dewji MO imeeleza kuwa kamati ya utendaji ya Simba kwa pamoja na MO wamefikia makubaliano ya kufanya mabadiliko ya uendeshwaji wa klabu kuwa wa hisa.

Simba
Simba

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top