Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: SHETTA AWACHANA BEN POL, FID Q NA SHILOLE KISA HIKI HAPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Upo usemi wa Kiswahili ambao mara zote umekuwa ukisisitiza “ajisifuye atokaye vitani na sio aendaye...
Upo usemi wa Kiswahili ambao mara zote umekuwa ukisisitiza “ajisifuye atokaye vitani na sio aendaye vitani”; msanii kama Diamond Platnumz ama Ambwene Yessiah a.k.a AY hawa wanaweza kujisifu kwa jinsi walivyoutendea haki muziki kwa kiasi kikubwa, wamemaster game ya muziki wa Bongo kutokana na kuwa na ‘management’ nzuri.
Shetta
Wapo wasanii ambao hadi sasa hawana uongozi na wamekuwa wakifanya muziki siku hadi siku, sasa Shetta a.k.a baba Caira amewatolea uvivu na kusema kitendo cha msanii kufanyakazi bila kuwa na msimamizi ni uswahili.
Shilole
Akasema:
“Kuamua kuwa na management ni kuamua kuwa professional, huwezi kuwa msanii huna management, huna mtu ambaye anakupangia ratiba, huna mtu ambaye anasimamia kazi zako, huyo ni uswahili,”.
Ben Pol
Wasanii ambao hadi sasa hawana management na bado wanaendelea kufanya kazi siku hadi siku ni pamoja na Linah, Kassim Mganga, Mr. Blue, Jux, Ben Pol, Fid Q na Shilole.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top