Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: SERIKALI YAZIONDOA ZAIDI YA KAYA 30,000 ZISIZO NA SIFA KWENYE MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI.
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Angela Kairuki  Waziri wa nchi ofisi ya rais manejiment ya utumishi wa umma na utawala bora . ...
Angela Kairuki
Angela Kairuki Waziri wa nchi ofisi ya rais manejiment ya utumishi wa umma na utawala bora .

Na. Mwandishi Wetu.
Serikali imeziondoa zaidi ya kaya elfu thelasini zisiyo na sifa kwenye mpango wa kunusuru kaya masikini unaoendeshwa na TASAF zikiwemo familia za watumishi wa serikali viongozi wa vijiji na watu wenye uwezo mkubwa wa kiuchumi na kuwaingiza watu wasiyo na uwezo ambao waliachwa kwenye mpango huo.

Waziri wa nchi ofisi ya rais manejiment ya utumishi wa umma na utawala bora Angela Kairuki ametoa takwimu hiyo alipokuwa anazungumza na wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya wakurugenzi wa halmashauri na wadau wa maendeleo kutoka mkoa mitano kujadili mipango kazi na changamoto za TASAF.

Mkurugenzi mkuu wa TASAF Ladislaus Mwamanga amesema TASAF inaendelea na uhakiki wa kina kuhusu watendaji wanaohusika kuhujumu mipango ya tasaf na kueleza lengo la kikao hicho. 

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top