Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: ROBIN VAN PERSIE USO KWA USO NA MANCHESTER UNITED HUKU SAMATTA AKIKUTANA NA KIGOGO HUYU WA HISPANIA EUROPA
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Na. Mwandishi Wetu. Michuano ya Ligi ya Europa inatarajiwa kuanza Septemba 15 mwaka huu, huku timu...
Europa
Na. Mwandishi Wetu.
Michuano ya Ligi ya Europa inatarajiwa kuanza Septemba 15 mwaka huu, huku timu ya Mbwana Samatta, KRC Genk ikipangwa kundi F pamoja na timu za Athletic Bilbao, Rapid Wien na Sassuolo.

Wakati huo huo mchezaji wa Fenerbahce ya Uturuki, Robin Van Persie anatarajiwa kukutana na timu yake ya zamani ya Manchester United zilizopangwa kundi moja kwenye michuano hiyo.
Europa Draw

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top