Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: NANE NANE SPECIAL: GPSA YASHIRIKI VEMA NANENANE LINDI
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Meneja masoko na mauzo wa wakala wa ununuzi serikalini GPSA, Hamza Hasani akitoa maelezo...
GPSA
Meneja masoko na mauzo wa wakala wa ununuzi serikalini GPSA, Hamza Hasani akitoa maelezo juu ya huduma zinazotolewa na wakala hao kwa mteja aliyetembelea kwenye banda la wakala hao Katika banda la maonyesho ya nane nane viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
GPSA
Picha zingine ni wafanyakazi wa wakala Wa ununuzi serikalini GPSA wakiwa kwenye banda lao   lililopo kwenye viwanja vya ngongo mkoani LINDI.
GPSA
Uwepo wa Wakala Wa Ununuzi serikalini lengo kuu ni kutoa huduma bora za ununuzi na ugavi wa wizara, idara za serikali zinazojitegemea ikiwemo mashirika ya serikali na halmashauri.

PICHA Na Abdulaziz, Lindi.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top