Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: MHE. GODFREY ZAMBI AMBAE NI MKUU WA MKOA WA LINDI AJIUNGA NA MFUMO WA "WOTE SCHEME" KUPITIA MFUKO WA PPF
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi akijaza fomu ya kujiunga na Mfumo wa Wote Scheme kup...

PPF Nane nane 2016


Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi akijaza fomu ya kujiunga na Mfumo wa Wote Scheme kupitia Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati alipotembelea Banda la PPF katika maonyesho ya Kilimo ya Nane Nane, yaliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi. PPF imeuanzisha Mfumo huo wa hiari wa kujiwekea akiba kwa wale ambao wapo kwenye sekta rasmi na sekta binafsi kama Wakulima, Wafugaji, Wavuvi, Mama Lishe, Wajasiriamali na wote wanaojiajiri wenyewe wanapata fursa ya kuchangia na kupata faida kuu nne kama vile kupata bima ya afya, fursa ya mikopo ya maendeleo na mikopo ya Kujiendeleza kielimu pamoja na mafao ya uzeeni

PPF Nane nane 2016

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi akijaza fomu ya kujiunga na Mfumo wa Wote Scheme kupitia Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati alipotembelea Banda la PPF katika maonyesho ya Kilimo ya Nane Nane, yaliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi. Kushoto ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PPF, Janet Ezekiel akishuhudia.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top