Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: MENEJA WA WCB AONGELEA KWA NINI LEBO HIYO HAIJAWEKEZA SANA KWA RICH MAVOKO KULIKO HARMONIZE NA RAYVANY
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Kumekuwa na maneno mengi ya watu wakidai kwamba timu ya WCB inawekeza sana kwa wasanii wake wawili...
Kumekuwa na maneno mengi ya watu wakidai kwamba timu ya WCB inawekeza sana kwa wasanii wake wawili Harmonize na Raymond kuliko kwa Rich Mavoko.
Sallam, Diamond and Tale
Alipoulizwa kuhusu suala hilo, mmoja wa mameneja wa Diamond, Sallam alisema kwamba wanatumia nguvu kubwa kwa Harmonize na Raymond kwa sababu ni wasanii wapya kwenye game ukilinganisha na Rich Mavoko.

“Rich mavoko ni wa siku nyingi watu washamuona tayari,na sisi tunajua thamani ya Rich Mavoko ndio maana yuko WCB,lakini Raymond na Harmonize ni wasanii wapya,ndio wamekuja. Lakini kama unavyoona project ya kwanza ya Rich Mavoko imetoka,nyingine inakuja hivi karibuni” alifunguka meneja huyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top