Fungwa Kilozo Fungwa Kilozo Author
Title: KUFUNGIA AKAUNTI YA TWITTER NA FACEBOOK ZA TUNDU LISSU NI SAWA?, KATIBA YA TANZANIA IMETOA JIBU HILI HAPA
Author: Fungwa Kilozo
Rating 5 of 5 Des:
Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida amesema wanawasiliana na TCRA ili kuzifungia akaunti za mitandao...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida amesema wanawasiliana na TCRA ili kuzifungia akaunti za mitandaoni za Mbunge Tundu Lissu, akidai zinatumika kueneza maneno ya kichochezi.
Tundu Lissu
Amesema anaitumia mitandao hiyo kueneza chuki dhidi ya Jeshi la Polisi, Serikali na Rais.

Inawezekana kweli ikawa hivyo lakini kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kuhusu uhuru wa mawazo imeeleza kama ifuatavyo:-

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top