Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: DRAKE ANATAKA MTOTO NA RIHANNA....!!
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Na tunathubutu kusema The Biggest Gossip kwa sasa mjini ni mpango wa Drake kuanzisha familia ya r...
Na tunathubutu kusema The Biggest Gossip kwa sasa mjini ni mpango wa Drake kuanzisha familia ya rnb staa Rihanna.
Drake na Rihanna
Taarifa kutoka kwenye jukwa la show ya Drake aliyofanya na Rihanna kwenye ziara yake ya Ovo inasemekana rapa huyu alikuwa wazi kwenye jukwaa na kusema anataka mtoto na Rihanna.

Kauli hii imemtoka Drake kwenye show ya saba ya OVO Fest kwenye ukumbi wa Air Canada Centre mjini Toronto, Canada.

Rihanna anatajwa kuwa na Drake kwa sasa baada ya kuachana na Travis Scott, pia aliwahi kuwa na Chris Brown.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top