Lindi Yetu Lindi Yetu Author
Title: DIAMOND PLATNUMZ KAFANYA KITU HICHI LEO HII AGOSTI 10, 2016
Author: Lindi Yetu
Rating 5 of 5 Des:
Diamond Platnumz ametoa mchango wake kwenye mfuko unaosaidia watoto wenye matatizo tofauti kupata ...
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz ametoa mchango wake kwenye mfuko unaosaidia watoto wenye matatizo tofauti kupata matibabu wa GSM Foundation. Mfuko huu pia unasaida maswala ya Elimu Tanzania. Kupitia Instagram yake aliweka wazi kuwa ametoa milioni 20 za Kitanzania kwa mfuko huo.
Diamond Platnumz
Hivi karibuni GSM Foundation imewezesha watoto wenye vichwa vikubwa kupata matibabu.

Huu ujumbe wa Diamond Platnumz:
“Moyo wangu unaniambia nisingeshikwa mkono ama kusaidiwa na watu basi nami nisingeweza leo hii kufikia hatua hii ndogo niliofikia… na ndiomaana #kidogo nikipatacho huwa napenda kusaidia wenzangu….. Leo Mapema nilitembelea ofisi za@GSMfoundationtz kuwasilisha kidogo tulichobarikiwa kwa niaba ya@wcb_wasafi kwajili ya kusaidia watoto wenye matatizo ya Vichwa vikubwa (Bobble Head Syndrome) na Mgongo wazi????"
GSM Foundation

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top